Alhamisi, 29 Mei 2014

Hiki ndicho alicho kisema msanii mahili wa nyimbo za kufoka foka/hip hop

Mwanamziki huyo anaetambulika kwa jina la FUTURE ameamua afunguke dhidi ya dogo anaetumia style yake na kutumia baadhi ya mistari yake.Dogo huyo anafahamika kwa jina la Dequantes Lamar au unaweza kumuita "RICH HOMIE" Hiki ndicho alicho kisema FUTURE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni