Jumanne, 26 Novemba 2013

Baada ya nyimbo zake kama kukere,sex mama kuhit msanii IYANYA sasa aja na ngoma nyingine iitwayo LEKWA UKWU

Hii ndio list mpya ya wasanii wa hip hop wenye pesa ndefu

1. Diddy ($50 million)
2. Jay Z ($43 million)
3. Dr. Dre ($40 million)
4. Nicki Minaj ($29 million)
5. Birdman ($21 million)
6. Kanye West ($20 million)
7. Lil Wayne ($16 million)
8. Wiz Khalifa ($14 million)
9. Ludacris ($12 million)
10. Pitbull ($11 million)
11. Drake ($10.5 million)
12. Snoop Lion ($10 million- tie)
12. Eminem ($10 million- tie)
13. Kendrick Lamar ($9 million -tie)
14. Pharrell Williams ($9 million -tie)
15. Macklemore & Ryan Lewis ($9 million -tie)
16. Swizz Beatz ($8.5 million)
17. Tech N9ne ($7.5 million)
18. 50 Cent ($7 million)
19. Lil Jon ($6 million -tie)
20. Rick Ross ($6 million -tie)
21. Mac Miller ($6 million -tie)
22. Young Jeezy ($6 million -tie)
23. Questlove ($6 million -tie)

Ijumaa, 15 Novemba 2013

Msanii toka nigeria WIZ KID na ngoma yake mpya ON TOP YOUR MATTER

Snura na mrisho ngasa wasadikika kuwa wapenzi


Mshambuliaji wa timu ya taifa,Taifa Stars na Mchezaji wa Yanga  Mrisho Ngasa amenaswa live akiwa na muimbaji wa majanga “Snura Anton Mushi”. Bado haijajulikana wazi kama mastaa hao wawili wanauhusiano wa kimapenzi au labda wanaigiza movie?

Mastaa hao wawili walinaswa live wakiwa kwenye nyumba ya Snura Anton Mushi iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Ngoma mpya ya msanii toka kundi la CAMP MULLA,Miss karuni ft Young odizzy-love song

BAADA YA BIASHARA KUWA NGUMU WACHINA SASA NAO WAINGIA BONGO MOVIES

Baada ya kumuingiza shabiki maarufu wa yanga football club “Steven” sasa Dr Cheni afanya mabadiliko makubwa ya bongo movie baada ya kumuweka mchina kwenye movie yake mpya. Moja ya scenes ambazo mchina huyo amecheza ni sehemu ambayo amefumaniwa akiwa Guest. Tuliamua kumtafuta Mchina huyo Mr. Chaoxiang Deming ( 朝翔 德明 ) kujua kwanini kwanini amemua kujiingiza kwenye tasnia ya filamu nchini na alidai kuwa kwa sasa biashara imekuwa ngumu kidogo hivyo sio mbaya akajaribu kufanya mambo mawili matatu kuongeza kipato

Jumatano, 13 Novemba 2013

VIDEO ZA MSHIRIKI WA TANZANIA AKIFANYA MAPENZI NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER .


Mshiriki wa  kiume   wa  Tanzania, Nando  ametutia  aibu  baada  ya  uvumilivu  kumshinda  na  kuamua  kufanya  tendo la  ngono  hadharani  akiwa  katika  jumba  la  big  brother....

Kamera  za  BBA zinamuonesha  wazi  Nando  akikata  mauno  kwa  mwanadada  Selly wa  Ghana  mithili  ya  mtu  ambaye  hajawahi  fanya  tendo  hilo  kwa  miaka  200  iliyopita...

Ngoma mpya ya DAVIDO