Alhamisi, 29 Mei 2014
Baada ya kimya kingi BIRDMAN aka 5 STAR aendelea kutoa misumali mingine ya moto
Msanii BIRDMAN baada ya kumake pesa ndefu kutokana na album yake ijulikanayo kwa jina la RICH GANG, ameludi tena na Kumshilikisha RICH HOMIE pamoja na YOUNG THUG,sikiliza hapa
Birdman - Lifestyle (Feat. Young Thug & Rich Homie Quan)
Powered by mp3eel.com
Powered by mp3eel.com
Hiki ndicho alicho kisema msanii mahili wa nyimbo za kufoka foka/hip hop
Mwanamziki huyo anaetambulika kwa jina la FUTURE ameamua afunguke dhidi ya dogo anaetumia style yake na kutumia baadhi ya mistari yake.Dogo huyo anafahamika kwa jina la Dequantes Lamar au unaweza kumuita "RICH HOMIE" Hiki ndicho alicho kisema FUTURE
Jumapili, 18 Mei 2014
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)