Alhamisi, 29 Mei 2014

T.i aka T.i.P Aachia kopo jipya akiwa na YOUNG THUG

Sikiliza hapa

Baada ya kimya kingi BIRDMAN aka 5 STAR aendelea kutoa misumali mingine ya moto

Msanii BIRDMAN baada ya kumake pesa ndefu kutokana na album yake ijulikanayo kwa jina la RICH GANG, ameludi tena na Kumshilikisha RICH HOMIE pamoja na YOUNG THUG,sikiliza hapa Birdman - Lifestyle (Feat. Young Thug & Rich Homie Quan)
Powered by mp3eel.com
Powered by mp3eel.com

Hiki ndicho alicho kisema msanii mahili wa nyimbo za kufoka foka/hip hop

Mwanamziki huyo anaetambulika kwa jina la FUTURE ameamua afunguke dhidi ya dogo anaetumia style yake na kutumia baadhi ya mistari yake.Dogo huyo anafahamika kwa jina la Dequantes Lamar au unaweza kumuita "RICH HOMIE" Hiki ndicho alicho kisema FUTURE

Jumanne, 26 Novemba 2013

Baada ya nyimbo zake kama kukere,sex mama kuhit msanii IYANYA sasa aja na ngoma nyingine iitwayo LEKWA UKWU

Hii ndio list mpya ya wasanii wa hip hop wenye pesa ndefu

1. Diddy ($50 million)
2. Jay Z ($43 million)
3. Dr. Dre ($40 million)
4. Nicki Minaj ($29 million)
5. Birdman ($21 million)
6. Kanye West ($20 million)
7. Lil Wayne ($16 million)
8. Wiz Khalifa ($14 million)
9. Ludacris ($12 million)
10. Pitbull ($11 million)
11. Drake ($10.5 million)
12. Snoop Lion ($10 million- tie)
12. Eminem ($10 million- tie)
13. Kendrick Lamar ($9 million -tie)
14. Pharrell Williams ($9 million -tie)
15. Macklemore & Ryan Lewis ($9 million -tie)
16. Swizz Beatz ($8.5 million)
17. Tech N9ne ($7.5 million)
18. 50 Cent ($7 million)
19. Lil Jon ($6 million -tie)
20. Rick Ross ($6 million -tie)
21. Mac Miller ($6 million -tie)
22. Young Jeezy ($6 million -tie)
23. Questlove ($6 million -tie)